Msako wa pointi unaendelea championship!
BAADA ya jana kupigwa mechi mbili za raundi ya 12 za Ligi ya Championship, msako mwingine wa kuwania pointi tatu muhimu unaendelea leo Jumamosi na kesho Jumapili, huku ushindani kwa kila timu ukizidi kuongezeka pia kila uchao. Vinara wa ligi hiyo, Geita Gold iliyolazimishwa sare ya bao 1-1, mechi iliyopita dhidi ya Kagera Sugar iliyo…