Kampuni yaamriwa kuilipa Serikali Sh146.6 milioni
Arusha. Mahakama Kuu Masjala Ndogo ya Dar es Salaam, imeiamuru Kampuni ya M/S Climate Consult (T) Limited kulipa zaidi ya Sh146.6 milioni, baada ya kushindwa kutekeleza mkataba wa kusambaza vifaa vya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (Tehama), kwa taasisi zilizopo chini ya Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia. Mahakama imeeleza mwaka 2020 kampuni hiyo ilishinda…