Fahamu Kwa Nini Madaktari Wanauzungumzia Kitunguu Saumu?
Fahamu Kwa Nini Madaktari Wanauzungumzia Kitunguu Saumu? – Global Publishers Home Afya Fahamu Kwa Nini Madaktari Wanauzungumzia Kitunguu Saumu?
Fahamu Kwa Nini Madaktari Wanauzungumzia Kitunguu Saumu? – Global Publishers Home Afya Fahamu Kwa Nini Madaktari Wanauzungumzia Kitunguu Saumu?
KIKOSI cha Simba kinatarajiwa kuingia kambini kesho Jumapili mara baada ya kocha mkuu mpya, Steve Barker na wasaidizi wake watakapowasili, lakini kuna beki mmoja wa kushoto kutoka Sauzi anatajwa kuwa katika rada za klabu hiyo ili kuimarisha kikosi hicho kupitia dirisha dogo. Simba inadaiwa tangu mapema msimu huu ilikuwa ikimpigia hesabu beki wa kushoto wa…
MBUNGE wa Jimbo la Korogwe Vijijini, Mhe. Timotheo Mnzava, ameendelea kutekeleza mikakati ya kuboresha huduma za afya kwa wazee kwa kugawa Bima za Afya kwa zaidi ya wazee 300 waliohudhuria Makuyuni Festival, tamasha lililowakutanisha wakazi wa maeneo mbalimbali ya jimbo hilo. Akizungumza wakati wa hafla hiyo, Mhe. Mnzava amesema hatua hiyo inalenga kuhakikisha wazee…
Handeni. Utata umeibuka kuhusu idadi ya vifo vya watu waliopoteza maisha katika ajali ya gari wakiwa safarini kutoka Dar es Salaam kwenda mkoani Kilimanjaro kwa ajili ya kusherehekea Krismasi na mwaka mpya. Ajali hiyo iliyoibua utata wa idadi ya vifo, imesababisha vifo vya ndugu wawili, na wengine watatu akiwemo mama na mwanawe. Inadaiwa kuwa ajali…
· Jeshi la Polisi kuwa lakutoa huduma · Taratibu za ukamataji mtuhumiwa kurekebishwa · Asisitiza watanzania kuipenda nchi yao Na Mwandishi Wetu,DODOMA Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene ameweka wazi maelekezo aliyoagizwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan ambayo yanaenda kugusa Jeshi la Polisi ambapo mabadiliko…
Na Edward Winchislaus. MBUNGE wa Jimbo la Mtumba na Waziri wa Madini, Mhe. Anthony Mavunde, amemkabidhi nyumba iliyofanyiwa ukarabati Bi. Verian Mlewamwenye umri wa miaka 75, mkazi wa Kata ya Mtumba jijini Dodoma, ambaye alikuwa katika hatua ya kuiuza nyumba yake kwa Shilingi 500,000 ili kupata fedha za matibabu baada ya kuugua…
Shinyanga. Makamu Mwenyekiti wa Umoja wa Mikoa ya Kisukuma, Mtemi Kidola Charles Njange, amesimulia namna ambavyo sikukuu za kimila, ikiwemo Krismasi na sikukuu ya mavuno, zilivyokuwa zikitumika kuwaunganisha vijana wa kike na wa kiume katika kutafuta wenza wa maisha. Akizungumza katika mahojiano na gazeti la Mwananchi kuhusiana na maadhimisho ya sikukuu ya Krismasi na mwaka…
na CIVICUS Ijumaa, Desemba 26, 2025 Inter Press Service CIVICUS inajadili maandamano yanayoongozwa na Kizazi Z nchini Bulgaria na Zahari Iankov, mtaalamu mkuu wa sheria katika Kituo cha Sheria ya Mashirika Yasiyo ya Faida ya Bulgaria, shirika la kiraia linalotetea ushiriki na haki za binadamu. Zahari Iankov Bulgaria hivi majuzi ilipata maandamano yake makubwa zaidi…
Dar es Salaam. Serikali imeutaka uongozi wa Shirika la Masoko Kariakoo kuhakikisha upangishaji wa vizimba na vyumba katika soko hilo, unazingatia bei halisi ili kulinda maslahi ya wafanyabiashara na kuwanufaisha walengwa. Kauli hiyo ya Serikali, inakuja katikati ya malalamiko ya wafanyabiashara wa soko hilo, wanaolalamikia danadana za ufunguzi wa soko tangu ujenzi wake ulipokamilika mapema…
Dodoma. Unawaza kuhusu nyumba ya kulala wageni? Kwa wengine siyo, chini ya mtende kando ya barabarani, tena mbele ya soko, watu wanamaliza tamaa zao za mwili na kuondoka. Ni vigumu kuamini, lakini ndiyo ilivyo. Mtende ulio barabarani unatumiwa na makahaba kumalizana na wateja zao. Saa 3:49 asubuhi anaamka mwanadada mweupe aliyejiremba. Anavaa gauni kisha anajipekua…