Madereva wanne wanaswa kwa ulevi sikukuu

Morogoro. Jeshi la Polisi Mkoa wa Morogoro linawashikilia madereva wanne waliokutwa wakiendesha vyombo vya moto wakiwa wamelewa wakati wa sikukuu ya Krismasi. Pamoja na madereva hao, polisi pia wamewakamata watuhumiwa wengine wa makosa tofauti, ikiwemo umiliki wa silaha za kienyeji na kujihusisha na biashara haramu ya wanyamapori. Hayo yameelezwa leo Ijumaa, Desemba 26, 2025, na…

Read More

Mzenji anukia Fountain Gate | Mwanaspoti

UONGOZI wa Fountain Gate uko katika hatua za mwisho za kukamilisha usajili wa kiungo mshambuliaji wa Pamba Jiji, Saleh Masoud Abdallah ‘Tumbo’, baada ya mchezaji huyo kudaiwa kufikia uamuzi huo wa pande mbili ili akapate changamoto mpya. Nyota huyo aliyejiunga na Pamba msimu wa 2024-2025, akitokea Klabu ya JKU ya kwao visiwani Zanzibar, inaelezwa ameomba…

Read More

MBUNGE LUTANDULA ASHIRIKI BATA LA CHRISTMAS NA WAGONJWA

…………. CHATO IKIWA ni utekelezaji wa kauli mbiu ya KAZI na BATA kwa wananchi wa Jimbo la Chato Kusini, Mbunge wa Jimbo hilo Pascal Lutandula, ameshiriki chakula cha pamoja na watu wasiojiweza, wagonjwa waliolazwa kwenye kituo cha afya Bwanga pamoja na kutoa zawadi mbalimbali kwa baadhi ya watumishi wa kada ya afya. Hatua hiyo imelenga…

Read More