Nafasi ya Kuibuka Bingwa Hii Hapa

LEO hii una nafasi ya kuondoka na mkwanja wa maana kwani Meridianbet ndio chimbo la ODDS KUBWA na machaguo zaidi ya 1000. Timu kibao zipo uwanjani uingia sasa na usuke jamvi lako. EPL kule Uingereza kutakuwa na mechi kali kabisa kati ya Manchester United vs Newcastle United ambapo mara ya mwisho kukutana kati yao msimu…

Read More

Ruby Play Yafungua Burudani ya Kasino Ndani ya Meridianbet

KUNA wakatia burudani hubadilika na kuwa uzoefu kamili, ndipo Ruby Play inapokutana na Meridianbet. Ushirikiano huu mpya unaanzisha sura tofauti kabisa ya kasino mtandaoni, ambapo ubunifu wa kisasa, teknolojia ya juu na fursa za ushindi vinachanganyika kuunda mazingira yanayovutia kuanzia mzunguko wa kwanza hadi wa mwisho. Ruby Play haibuni michezo tu, inaunda hisia. Kila sloti…

Read More

Trump aishambulia Islamic State Nigeria

Lagos. Serikali ya Marekani, imefanya mashambulizi kwa kundi la kigaidi la Islamic State (IS) katika eneo la Kaskazini Magharibi mwa Nigeria. Hatua hiyo ya Trump, ni utekelezaji wa kile alichokiahidi mwezi mmoja uliopita, aliposema atalazimika kulishambulia kundi hilo la IS kutokana na mauaji ya wakristo wasio na hatia. Hata hivyo, Serikali ya Nigeria Novemba mwaka…

Read More

Marekani yashambulia Nigeria | Mwananchi

Lagos. Serikali ya Marekani, imefanya mashambulizi kwa kundi la kigaidi la Islamic State (IS) katika eneo la Kaskazini Magharibi mwa Nigeria. Hatua hiyo ya Trump, ni utekelezaji wa kile alichokiahidi mwezi mmoja uliopita, aliposema atalazimika kulishambulia kundi hilo la IS kutokana na mauaji ya wakristo wasio na hatia. Hata hivyo, Serikali ya Nigeria Novemba mwaka…

Read More

Felipe Paullier, afisa mkuu wa Umoja wa Mataifa mwenye umri mdogo zaidi kuwahi kushtakiwa kwa kutoa sauti kwa vijana duniani kote – Global Issues

“Unaposoma historia katika shule ya upili, unajifunza juu ya asili ya Umoja wa Mataifa, na mara zote lilikuwa shirika ambalo nilishirikiana nalo, kwa kuzingatia maadili ambayo inakuza. Hata hivyo, sikuwahi kufikiria kuwa ningekuwa na jukumu la moja kwa moja katika shirika. Wakati wa kufanya kazi na serikali ya Uruguay, nilikuwa na mawasiliano mengi na mfumo…

Read More

Ifahamu historia ya ‘Boxing Day’

Dar es Salaam. Kila ifikapo Desemba 26, dunia husherehekea Sikukuu ya ‘Boxing Day’ ambayo mara nyingi huenda sambamba na kutoa na kupokea zawadi. Hii ni siku ya pili baada ya kusherehekea Sikukuu ya Krismasi. Zaidi ya Sh22.7 trilioni zinatarajiwa kutumika duniani mwaka huu katika manunuzi ya zawadi za siku hiyo kwa mujibu wa mtandao wa…

Read More

Ugumu uliopo matumizi ya tiketi za mtandao

Dar es Salaam. Licha ya uwepo wa mifumo ya kisasa ya tiketi za kielektroniki na masharti ya kisheria yanayosimamia usafiri wa mabasi ya masafa marefu, changamoto katika utekelezaji wa sheria hizo imeendelea kuchochea ulanguzi wa tiketi, hususan katika vipindi vya mahitaji makubwa ya usafiri kama msimu wa sikukuu. Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri Ardhini (Latra)…

Read More