Kitambulisho tiketi ya kuingia, kutoka Chanika Mjini
Dar es Salaam. Eneo la Chanika Mwisho maarufu Chanika Mjini ambalo huwa na pilikapilika nyingi za kibiashara na usafiri wa daladala, leo Jumanne Desemba 9, 2025 lina utulivu usio wa kawaida. Mwananchi limepita maeneo hayo ambayo hadi saa 6:00 mchana yamekuwa na ulinzi mkali wa askari wa Jeshi la Polisi, huku kukiwa na vizuizi pande…