Kwa nini ‘ujibusti’ nguvu za kiume kwa vidonge?
Kazi nyingi za kiutafiti zinaendelea kuonyesha kuwa wanaume wengi wanakumbwa na tatizo la nguvu za kiume, huku mtindo wa maisha ukionekana kuchangia shida hii. Ni suala ambalo limewasukuma wengi kuanza kutumia vidonge vya kuongeza nguvu hii, suala ambalo linazidi kuhatarisha maisha ya wengi. Hata hivyo, kuna vyakula, ambavyo kulingana na wataalamu, mtu akivizingatia, vinaweza kusaidia…