Somba haitanii, yaanza hesabu mapema

SIMBA inatarajiwa kuupokea ugeni mzito wa kocha mpya, Steve Barker na wasaidizi wake wikiendi hii kabla ya kuanza safari ya kwenda Zanzibar kushiriki michuano ya Kombe la Mapinduzi 2026, lakini kuna jambo linaloonekana mabosi wa klabu hiyo hawatanii, ni kuhusu msako wa kipa mpya. Timu hiyo inayoshika nafasi ya tano katika msimamo wa Ligi Kuu…

Read More

VIDEO: Nondo wa maaskofu wakitoa ujumbe za Krismasi

Dar/mikoani. Sikukuu ya Krismasi imetamatika, huku viongozi wa kiroho wakitaka itumike kuwa chachu ya kuzika tofauti na kujenga utayari wa kuanza upya, wakisisitiza kukomeshwa kwa ufisadi, ukatili, ulafi, ibada za uongo, hasira na fitina. Katika baadhi ya madhabahu, sikukuu hiyo na ile ya Mwaka mpya, viongozi wa makanisa wametaka ziwe mwanzo wa jamii kuthamini uhai…

Read More

Afariki ajalini Tanga akielekea Moshi, wanne wajeruhiwa

Tanga. Safari ya kusherehekea sikukuu ya Krismasi mjini Moshi imegeuka majonzi baada ya dereva wa gari dogo, Justine Jacobo Njau (32), kufariki dunia papo hapo na wengine wanne wakijeruhiwa katika ajali ya barabarani iliyotokea alfajiri ya Desemba 25, 2025, mkoani Tanga. Kwa mujibu wa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tanga, Almachius Mchunguzi, ajali hiyo ilitokea…

Read More

WAZIRI SIMBACHAWENE AITAKA JAMII KUEPUKANA NA MSUKUMO WA DHULMA

………….. Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene ameitahadharisha jamii ya watanzania kujiepusha na msukumo wa dhulma,uongo na ubinafsi unaoenezwa kupitia  mitandao ya kijamii Ametoa rai hiyo leo, wakati wa Ibada ya Krismasi iliyosaliwa katika Kanisa la Parokia ya Pwaga, wilayani Mpwapwa, mkoani Dodoma  huku Paroko wa Parokia hiyo,Padri Daniel Kijaji akimuombea hekima…

Read More

Msisimko Mkubwa Ndani ya Meridian Panda Deluxe Pekee

MERIDIANBET inaleta upepo mpya wa burudani kupitia Meridian Panda Deluxe, sloti ya kisasa inayochanganya urahisi wa muundo na mvuto wa ushindi. Ingawa ina mpangilio wa 3×3 unaoonekana kuwa mwepesi, mchezo huu umejengwa kwa kasi na mvuto unaowafanya wapenzi wa sloti kubaki macho kila mzunguko unapozunguka. Mara tu unapoingia ndani ya Meridian Panda Deluxe, macho yanavutiwa…

Read More

TANZANIA YATUMIA MICHUANO YA AFCON 2025 KUUZA MAZAO YA UTALII

Na mwandishi wetu, Morocco NAIBU Waziri wa Maliasili na Utalii, Hamad Hassan Chande (Mb), amesema Tanzania inatumia fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON 2025), katika kujitangaza na kukaribisha wadau na wawekezaji katika sekta ya utalii ili kutanua wigo wa utalii nchini. Akizungumza na waandishi wa habari Mjini Rabat, Morocco, Chande amesema kuwa jambo…

Read More