SHEMDOE AWATAKA WALIOKWENDA KUSHEHEREKEA KRISMASI VIJIJINI KUNUNUA BIDHAA ZA WENYEJI
Na James Mwanamyoto – Dar es Salaam WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM–TAMISEMI) Mhe. Prof. Riziki Shemdoe amewahimiza wananchi waliosafiri kutoka mijini kwenda vijijini, kuhakikisha wananunua bidhaa huko huko vijijini ili kuleta tabasamu na kuongeza mzunguko wa fedha vijijini. Prof. Shemdoe ametoa wito huo katika salaam…