Mkuu wa Jeshi Libya afariki kwa ajali ya ndege, wengine saba
Lybia. Ajali ya ndege iliyotokea katika ardhi ya Uturuki imesababisha kifo cha Mkuu wa Jeshi la Libya, Jenerali Muhammad al-Haddad, maofisa wengine wanne pamoja na wahudumu wa ndege watatu. Muda mfupi baada ya kutokea ajali hiyo na kuwatambua waliokuwemo, Jana Jumatano Desemba 24, 2025, Rais wa Uturuki, Recep Erdogan ametuma salamu za rambirambi kwa kiongozi…