DPP awafutia kesi ya uhaini vijana saba, washukuru kwa staili yao
Dar es Salaam. Wakiwa na nyuso za furaha huku machozi yakiwalenga na wengine wakishindwa kujizuia na kulia kimyakimya, walinyanyua mikono juu ikiwa ni ishara ya kumshukuru muumba wao, baada ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kuwafutia kesi ya uhaini vijana saba, Vijana hao ni waliokuwa wanakabiliwa mashtaka mawili ikiwemo kula njama na kutenda kosa la…