Mauzo ya dhahabu yanavyozidi kukamata usukani soko la dunia
Dar es Salaam. Katika miaka ya hivi karibuni, dunia imegeukia kwa kasi kuhifadhi dhahabu kama njia salama ya kulinda thamani ya mali wakati wa misukosuko ya kiuchumi na kijiografia. Benki kuu za nchi mbalimbali zimeongeza akiba ya dhahabu ili kupunguza utegemezi wa sarafu za kigeni na kuimarisha uthabiti wa mifumo ya kifedha. Mvutano wa kisiasa,…