Global Publishers Tunawatakia Watanzania Krismasi Njema
Global Publishers Tunawatakia Watanzania Krismasi Njema – Global Publishers Home Habari Global Publishers Tunawatakia Watanzania Krismasi Njema
Global Publishers Tunawatakia Watanzania Krismasi Njema – Global Publishers Home Habari Global Publishers Tunawatakia Watanzania Krismasi Njema
RIPOTI ya afya ya makipa wawili wa Simba imewashtua mabosi wa klabu hiyo na fasta wameanza msako sokoni kutafuta kipa mpya ili kuja kusimama langoni akishirikiana na Hus-sein Abel ambaye amekuwa akipigishwa benchi na wenzake tangu msimu uliopita. Simba inasaka kipa mpya baada ya ripoti ya makipa kufikishwa kwa kocha mkuu, Steve Bark-er ikionyesha makipa…
Kabla ya uchaguzi wa Disemba 28, Katibu Mkuu Antonio Guterres alitoa wito kwa wananchi wote wa Afrika ya Kati kushiriki kwa amani katika kura hiyo na amezitaka mamlaka kuhakikisha kuwa uchaguzi unafanyika kwa “amani, utaratibu, umoja na wa kuaminika,” kulingana na a kauli iliyotolewa Jumatano na msemaji wake. Aidha ametoa wito kwa wadau na wadau…
KOCHA mkuu mpya wa Simba, Steve Barker yupo katika mapumziko ya sikukuu ya Krismasi na familia yake, lakini mara ya baada ya mapumziko hayo anatarajiwa kuingia nchini wikiendi hii tayari kuanza rasmi kazi ya kuinoa timu hiyo, huku akija na majembe manne ya kumpiga tafu klabuni. Moja ya mashine hizo zitakazotua na Barker aliyekuwa akiinoa…
Samuel Ndungu anafanya kazi katika shamba lake huko Githunguri, Kenya. Credit: Farai Shawn Matiashe/IPS na Farai Shawn Matiashe (githunguri, kenya) Jumatano, Desemba 24, 2025 Inter Press Service GITHUNGURI, Kenya, Desemba 24 (IPS) – Kwa miaka miwili iliyopita, Samuel Ndungu, mkulima mdogo, amekuwa akilima chakula cha asili na kusambaza katika soko la ndani la Githunguri, nje…
Dar/Unguja. Wakati waamini wa dini ya Kikristo nchini kesho wakiungana na wenzao duniani kote kusherehekea Sikukuu ya Krismasi, baadhi ya viongozi wa dini hiyo wamewataka kuitumia kwa kusameheana, kuwaunganisha na kujenga umoja wa kitaifa. Wakizungumza na Mwananchi kwa nyakati tofauti leo Jumatano Desemba 24, 2025, viongozi hao wamesema licha ya changamoto na misukosuko iliyolikumba Taifa…
Dar es Salaam. Askofu Mkuu wa Jimbo Katoliki la Dar es Salaam, Juda Thaddeus Ruwa’ichi, amesema Watanzania wengi hawashabikii haki wala siyo wadau wa haki. Amesema wengi wao kwa ujinga, kwa kurubuniwa au vinginevyo wamekuwa wadau wa amani akiweka msisitizo kuwa pasipo na haki hakuna amani. Askofu Ruwa’ichi ametoa kauli hiyo leo Desemba 24,2025 katika…
Moshi. Miili ya watu watano waliofariki kwa ajali ya Helkopta ya kampuni ya uokoaji ya Kilimedair meneo ya kati ya Kibo na Barafu Camp, Mlima Kilimanjaro, imetambuliwa. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kilimanjaro, Simon Maigwa, ajali hiyo imetokea leo Desemba 24,2025 saa 11:30 jioni wakati Helikopta hiyo ikitoka kuchukua…
Watu wanashiriki katika maandamano ya kupinga ufisadi huko Kathmandu, Nepal tarehe 8 Septemba 2025. Mkopo: Navesh Chitrakar/Reuters kupitia Gallo Images Maoni na Mandeep S.Tiwana (new york) Jumatano, Desemba 24, 2025 Inter Press Service NEW YORK, Desemba 24 (IPS) – 2025 umekuwa mwaka wa kutisha kwa demokrasia. Zaidi ya asilimia 7 ya idadi ya watu duniani…
Umoja wa wa Wajasiriamali wa Mkoa wa Dar es Salaam umewataka Watanzania wote kujiepusha na vitendo vya vurugu vinavyoweza kuliingiza taifa katika uvunjifu wa amani, wakisisitiza kuwa machafuko hayaleti tija wala suluhu ya changamoto za kijamii na kiuchumi. Wakizungumza mbele ya waandishi wa habari jijini Dar es Salaam viongozi na wanachama wa umoja huo wamesema…