DKT. ABBAS AHAMASISHA WAKAZI WA DAR ES SALAAM KUSHIRIKI TAMASHA LA FUNGA MWAKA KIJANJA TALII
………… 📍 Athibitisha Utalii Kuimarika zaidi nchini Na Beatus Maganja, Dar es Salaam TAMASHA la Funga Mwaka Kijanja Talii Msimu wa Pili linaloendelea katika viwanja vya Sabasaba Jijini Dar es Salaam limeelezwa kuwa fursa muhimu kwa wakazi wa jiji hilo na Watanzania kwa ujumla kufanya utalii wa ndani kwa kushuhudia vivutio mbalimbali vya wanyama pori….