Kilimanjaro mguu sawa, utekelezaji bima ya afya kwa wote
Moshi. Mganga Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Dk Jairy Khanga, amewataka wataalamu na watoa huduma za afya mkoani humo kuanza mara moja utekelezaji wa majaribio ya bima ya afya kwa wote kwa maelekezo ya Serikali. Amewataka kujikita katika utoaji wa elimu, uhamasishaji na maandalizi ya vituo vya kutolea huduma, ili kuhakikisha wananchi wanapata huduma bora…