Wanane kortini wakidaiwa kuingiza bangi kutoka Malawi
Dar es Salaam. Watu wanane wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakikabiliwa na shtaka moja la kusafirisha dawa za kulevya aina ya bangi zenye uzito wa kilo 90.89. Wakili wa Serikali, Tumaini Mafuru amewataja majina washtakiwa kuwa ni Jaribu Tindwa, Juma Mfumo, Rahim Nampanda, Aboubakari Ally, Nurdin Mussa(36), Farid Rashid(36), Ally Neesha na Mussa…