Mgunda awabana mastaa Namungo | Mwanaspoti
KOCHA Mkuu wa Namungo, Juma Mgunda amesema anatambua ugumu wa kuwaachia wachezaji katikati ya mashindano na kuwabana akiwapa programu maalumu ili waitumie wakiwa mapumziko kusudi wakirudi wawe timamu kimwili. Mapumziko hayo ni maalumu ya kupisha timu za taifa kuwakilisha nchi zao katika fainali za Afcon 2025 zinazotarajiwa kufanyika Morocco kuanzia Desemba 21 hadi Januari 18…