Airtel Tanzania kunogesha msimu wa sikukuu na kampeni ya “Sikukuu Imenyooka na Santa Mizawadi
Dar es Salaam KAMPUNI ya Airtel Tanzania inaendelea kuwafikia na kuwasogezea wateja wake kampeni ya sikukuu ya “Sikukuu Imenyooka na Airtel Santa Mizawadi”, ikiwa ni sehemu ya juhudi zake za kuwazawadia wateja na kuhimiza matumizi ya huduma za kidijitali, hususan Airtel Money, katika kipindi hiki cha sikukuu. Kupitia kampeni hii, Airtel imefanikiwa kuwafikia wateja katika…