Ujio wa kocha mpya Simba, Mpanzu, Sowa kazi ipo
WINGA wa zamani Yanga, Mahlatse Makudubela ‘Skudu’ amesema Simba imefanya uamuzi sahihi kumchukua Steve Barker kama kocha wa kikosi hicho, lakini kuna ‘code’ amewatembezea mapema mastaa wa kikosi hicho kama wanataka nafasi ya kucheza akiwemo Elie Mpanzu, Jonathan Sowah na Jean Charles Ahoua. Skudu raia wa Afrika Kusini, amewahi kunolewa na kocha huyo katika timu…