TDB YAWAKUTANISHA WADAU KUHUSU MAZIWA
:::::::::: Dar es Salaam Bodi ya Maziwa Tanzania imewakutanisha wadau wa tasnia ya maziwa katika kikao kazi cha mwaka kilichofanyika jana jijini Dar es Salaam kwa lengo la kuimarisha usimamizi wa sekta hiyo. Akizungumza katika kikao hicho, Msajili wa bodi hiyo, George Msalya, aliwataka wafanyabiashara wa maziwa kujisajili rasmi kabla ya kuendelea na shughuli zao….