TANZANIA YAJIPANGA KUWA KITOVU CHA UZALISHAJI DAWA AFRIKA
SERIKALI imetangaza rasmi mwelekeo mpya wa kimkakati wa kuharakisha uwekezaji wa viwanda vya bidhaa za afya nchini, ikiwa ni hatua ya kuimarisha usalama wa afya wa Taifa, kupunguza utegemezi wa dawa kutoka nje na kuliweka Taifa kwenye ramani ya uzalishaji wa dawa barani Afrika na duniani. Mwelekeo huo umetangazwa leo Desemba 23, 2025 jijini Dar…