Serikali kufunda vijana kuhusu Muungano

Dar es Salaam. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Hamad Masauni, amesema Muungano wa Tanzania unaendelea kukabiliwa na changamoto mbalimbali, akionya iwapo vijana hawatapewa elimu sahihi kuhusu misingi ya Muungano huo, upo hatarini kuvunjika. Hata hivyo, Balozi Christopher Liundi amesema mazungumzo ya wazi na ya mara kwa mara ni njia…

Read More

HWPL YAANDAA KONGAMANO LA KIMATAIFA LA MTANDAONI NA JUMUIYA YA KIRAIA YA IRAQ NA MASHARIKI YA KATI

………………… Uzinduzi wa Kamati ya Utekelezaji wa Amani ya Mashariki ya Kati Unaonyesha Awamu Mpya ya Ushirikiano wa Amani Unaoongozwa na Kikanda Mnamo Desemba 19, 2025, Heavenly Culture, World Peace, restorationof Light (HWPL), shirika lisilo la kiserikali la kimataifa linaloshirikiana na Umoja wa Mataifa, lilifanya kongamano la kimataifa la mtandaoni lenye kichwa “Kongamano la Kimataifa…

Read More

ASHIKILIWA KWA TUHUMA ZA KUMUUA MTOTO WA JIRANI YAKE

JESHI la Polisi Mkoa wa Mbeya linamshikilia Furaha Mwile Nyelele, mkazi wa Kijiji cha Shilanga kwa tuhuma za mauaji ya mtoto wa jirani yake aliyekuwa Mwanafunzi wa Shule ya Msingi Shilanga darasa la saba aitwaye Boniventure Elia Lazaro [12] mkazi wa Shilanga. Awali kabla ya tukio hilo tarehe 21.12.2025 saa 10:15 jioni huko Kijiji cha…

Read More

Ziara ya Dk Mwigulu ilivyoibua kero hekaheka mikoani

Dar es Salaam. Ziara ya siku ya tano ya Waziri Mkuu, Dk Mwigulu Nchemba katika mikoa mitatu imekuwa ya neema kwa wananchi, huku baadhi ya watendaji wa Serikali na makandarasi wakikumbana na wakati mgumu. Wananchi walipata neema baada ya kupata fursa ya kuwasilisha kero zao kwa Dk Mwigulu aliyezipatia ufumbuzi papo hapo, huku zingine akibeba…

Read More

Wawili washikiliwa kwa tuhuma za mauaji Njombe

Njombe. Jeshi la Polisi mkoani Njombe linawashikilia Petro Mfugale (35) na Benson Lyambilo (35), wakazi wa Lyamkena mjini Makambako kwa tuhuma za mauaji ya Alfred Mfugale (61). Watuhumiwa wanadaiwa kumpiga na kitu kizito na chenye ncha kali kichwani na kisogoni hali iliyosababisha avuje damu nyingi hadi kifo chake. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Njombe, Mahamoud…

Read More

Cheza Meridianbet Missions, Geuza Kila Mzunguko Kuwa Ushindi

MERIDIANBET imefungua ukurasa mpya kabisa katika ulimwengu wa kasino mtandaoni kwa kuianzisha Meridianbet Missions, si mchezo wa kawaida, bali ni dhana mpya inayobadili mizunguko kuwa hadithi ya mafanikio. Hapa, kila mzunguko si suala la bahati pekee, bali ni hatua ya kuelekea ushindi. Ni kasino yenye mwelekeo, si bahati nasibu. Katika Meridianbet Missions, mchezaji unakuwa mhusika…

Read More