Ripoti BoT yaeleza uagizaji mafuta unavyoshuka nchini
Dar es Salaam. Unaweza kueleza kuwa, jitihada za kuhamia matumizi ya nishati safi ya kupikia zimeanza kuzaa matunda baada ya Tanzania kushuhudia kupungua kwa fedha zinazotumika kuagiza mafuta nje ya nchi. Ripoti ya tathmini ya hali ya uchumi ya kila mwezi iliyotolewa na Benki Kuu ya Tanzania (BoT) Novemba 2025, inaonyesha fedha zilizotumika kuagiza mafuta…