Wahariri wahimizwa kulinda amani na masilahi ya Taifa

Dar es Salaam. Mwanadiplomasia Mwandamizi, Omar Mjenga, amewataka wahariri wa vyombo vya habari kuwa chimbuko la hoja na mijadala mipana kuhusu umuhimu wa kulinda amani na masilahi ya Taifa, hasa ya jamii inapotofautiana  kimtazamo. Akizungumza jijini Dar es Salaam leo Jumanne, Desemba 23, 2025, wakati akiwasilisha nasaha na uzoefu wa wazee, katika semina ya wahariri…

Read More

Salamu za Fei Toto AFCON

KIUNGO wa timu ya taifa ya Tanzania, Feisal Salum ‘Fei Toto’, ana imani kikosi hicho kitafikia malengo katika Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2025 nchini Morocco. Fei Toto anaamini Taifa Stars itaendeleza kiwango chake katika michuano hiyo kama ilivyokuwa kwenye Fainali za Ubingwa wa Mataifa ya Afrika kwa Wachezaji wa Ndani (CHAN…

Read More

2025 ilivyoacha tabasamu na vilio kwa mastaa

Mwaka Mpya wa 2026 unasubiriwa kwa shauku kubwa wakati huu wa 2025 ukiwa ukingoni ukiacha mambo mengi nyuma. Kwenye burudani, mengi mazuri kwa maana ya kufurahisha yalitokea, pia ya kuhuzunisha na kubaki katika kumbukumbu za baadhi ya mastaa. Hawa hapa mastaa ambao mwaka huu uliobakiza siku nane kumalizika umewaacha kwenye furaha na huzuni katika uhusiano…

Read More

Dk Mkumbukwa: Muungano wa Tanzania ni wa kipekee duniani

Dar es Salaam. Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Zanzibar (SUZA), Dk Abdallah Mkumbukwa, amesema Muungano wa Tanzania una upekee wa kipekee duniani kwa kuwa uliunganisha mataifa mawili yaliyokuwa huru,Tanzania Bara na Zanzibar umeendelea kudumu kwa zaidi ya miaka 60. Akizungumza leo Jumanne Desemba 23, 2025, jijini Dar es Salaam wakati wa wasilisho kuhusu upekee wa…

Read More

Harakati ya Ulimwenguni ya Lishe Inahitajika Sasa Zaidi kuliko hapo awali – Masuala ya Ulimwenguni

Watoto katika mji wa Didiévi, Ivory Coast, wakipanga foleni kuosha mikono yao kabla ya kupokea chakula Mikopo: Scaling Up Nutrition Movement Maoni na Afshan Khan (geneva) Jumanne, Desemba 23, 2025 Inter Press Service GENEVA, Desemba 23 (IPS) – Katika zaidi ya miaka 30 yangu na Umoja wa Mataifa, nimeona mabadiliko makubwa, ushirikiano na maendeleo katika…

Read More

Matukio ya udhalilishaji yaongezeka Novemba, 2025 

Unguja. Matukio ya udhalilishaji yameongezeka kwa asilimia 8.1 kufikia 107 kutoka 99 yaliyoripotiwa Oktoba, sababu ya ongezeko ikitajwa kuwa uhuru uliopitiliza wa wazazi kwa watoto wao. Inaelezwa uhuru huo umesababisha watoto kufanya jambo lolote watakalo bila ya hofu, wala kujali athari za vitendo wanavyovifanya. Akitoa taarifa leo Jumanne Desemba 23, 2025 Ofisa wa Divisheni ya…

Read More