Chuo Kikuu Mzumbe kampasi ya Tanga kupokea wanafunzi 2026
Mkinga. Kampasi ya Chuo Kikuu Mzumbe Tanga iliyopo Kijiji cha Gombero, wilayani Mkinga inatarajiwa kuanza kupokea wanafunzi Septemba na Oktoba, 2026. Hatua hiyo ni baada ya kukamilika kwa ujenzi wa majengo na miundombinu mingine. Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Mzumbe, Profesa William Mwegoha, amesema hayo jana Desemba 30, 2025 alipotoa taarifa kwa Mkuu wa Wilaya ya…