Dear Clients, Partners and Friends,

As we bring this year to a close, I want to express my sincere appreciation for the trust and confidence you have placed in Stanbic Bank. Your support and partnership have played a central role in our progress, and we remain honoured by the opportunity to serve you. This year, we marked thirty years of…

Read More

RC Babu atoa angalizo kwa viongozi wa dini

Moshi. Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Nurdin Babu, amewahakikishia wananchi na wageni wanaotarajiwa kutembelea mkoa huo kipindi cha sikukuu za mwishoni mwa mwaka, kuwa hali ya ulinzi na usalama imeimarishwa. Vilevile, ametoa rai kwa viongozi wa dini kushirikiana na Serikali kuhubiri amani, utulivu na mshikamano katika maeneo ya ibada ili sikukuu hizo zisherehekewe kwa amani…

Read More

Serikali yasisitiza Usalama ,Mapato Mpakani Mutukula

Na Mwandishi Wetu,KAGERA Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,George Simbachawene amehimiza ushirikiano kati ya watumishi wa serikali waliopo katika Kituo cha Forodha cha Pamoja cha Mutukula kilichopo wilayani Misenyi mkoani Kagera ambapo ni mpaka kati ya nchi ya Tanzania na Uganda huku akiwaasa kutilia mkazo masuala ya usalama na ukusanyaji wa mapato kwa maendeleo…

Read More

Meya Zanzibar awauma sikio madiwani

Unguja. Meya wa Jiji la Zanzibar, Kamal Abdulsatar Haji, amesema mafanikio ya Baraza la Jiji yanategemea zaidi ushirikiano na heshima katika kutekeleza majukumu yake. Amesema bila ya ushirikiano kati ya baraza, kamati na watendaji wake hakutakuwa na utoaji huduma nzuri kwa wananchi. Kamal ametoa kauli hiyo leo Jumanne Desemba 23, 2025 wakati akifungua mafunzo ya madiwani…

Read More

Sh42 bilioni kujenga mfumo wa usafirishaji umeme Unguja

Unguja. Shirika la Umeme Zanzibar (Zeco) limetiliana saini na Kampuni ya Central Electricals International Limited kuimarisha mfumo wa umeme mjini Unguja. Mradi huo utagharimu Dola 17.2 milioni za Marekani (Sh42.5 bilioni), ukihusisha ujenzi wa vituo vya umeme ma mfumo wa usafirishaji nishati hiyo ndani ya Mji Mkongwe. Akizungumza leo Ijumaa Desemba 23, 2025 baada ya…

Read More

USHINDANI WA HAKI WATAJWA KUINUA BIASHARA NA KUWAOKOA WALAJI

  Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Patrobas Katambi ,akizungumza wakati wa ziara yake katika Baraza la Ushindani (FCT) Jijini Dar es Salaam. …. Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Patrobas Katambi (Mb), ameliagiza Baraza la Ushindani (FCT) kuendelea kusimamia na kulinda ushindani wa haki ili kuondoa vitendo vya ukiritimba, hususan katika suala…

Read More