Fanya haya kuutua mzigo wa ada shuleni
Elimu ni haki ya msingi ya kila mtoto, lakini pia ni jukumu linalohitaji maandalizi ya kifedha. Kwa bahati mbaya, wazazi wengi hukumbwa na changamoto kubwa hasa mwisho wa mwaka, kipindi ambacho mahitaji ya kifedha huwa mengi: ada za shule, sherehe za mwisho wa mwaka, sikukuu, safari, pamoja na mahitaji mengine ya kifamilia. Hali hii husababisha…