Wafanyakazi wa Siku, Walionaswa Katika Vita Kigumu Kati ya Waasi wa M25 na DRC, Warudi Nyumbani – Masuala ya Ulimwenguni

Foleni za Warundi zilinasa Uvira kwenye mpaka kati ya DRC na Rwanda baada ya Muungano wa M23-Congo River Alliance (AFC) kuwasukuma nje wanajeshi wa Kongo na Burundi na muungano wa wanamgambo wanaojulikana kwa jina la Wazalendo. Foleni za warundi zilinasa Uvira kwenye mpaka kati ya DRC na Rwanda baada ya Muungano wa M23-Congo River Alliance…

Read More

Dk Mwinyi ateuwa watano, wamo wastaafu

Unguja. Rais wa Zanzibar, Dk Hussein Ali Mwinyi amewateua wakurugenzi watano kuwa wenyeviti wa bodi ya Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar na kati yao wapo wastaafu wawili. Katika taarifa iliyotumwa kwa vyombo vya habari leo Jumatatu Desemba 22, 2025 na Katibu Mkuu Kiongozi Zanzibar, Zena Ahmed Said imesema uteuzi huo unaanza leo. Makame Hasnuu Makame…

Read More

WAUMINI WAMPELEKA PADRI KITIMA VATICAN WAOMBA UCHUNGUZI WA MWENENDO WAKE

Waumini wa Kanisa Katoliki nchini Tanzania, Stanslaus Thobias Nyakunga na Elia Phaustine Kabote, wakizungumza kuhusiana na kupeleka Barua kwa Balozi wa Vatican nchini Tanzania juu ya Mwenendo wa Katibu wa TEC Dkt.Charles Kitima jijini Dar es Salaam. Na Mwandishi Wetu WAUMINI wa Kanisa Katoliki nchini Tanzania, Stanslaus Thobias Nyakunga na Elia Phaustine Kabote, wamewasilisha rasmi…

Read More

Mkutano wa Viongozi wa Asia ya Kati-Japani huko Tokyo Backs Trans-Caspian Corridor; Tokayev Anaonya Hatari za Nyuklia Zinaongezeka – Masuala ya Ulimwenguni

“Asia ya Kati pamoja na Japan Dialogue” (CA+JAD). Credit: Ofisi ya Waziri Mkuu wa Japan Maoni na Katsuhiro Asagiri (Tokyo, Japan) Jumatatu, Desemba 22, 2025 Inter Press Service TOKYO, Japani, Desemba 22 (IPS) – Viongozi wa Japani na mataifa matano ya Asia ya Kati walikutana mjini Tokyo Desemba 20 na kupitisha “Azimio la Tokyo,” ikizindua…

Read More

Ilichokisema mahakama hukumu ya aliyegongwa na mwendokasi

Dar es Salaam. Mahakama Kuu Masjala Ndogo Dar es Salaam imeiamuru Kampuni ya UDA Rapid Transport Limited Company (UDART), inayotoa huduma za usafiri wa mabasi yaendayo haraka maarufu mabasi ya mwendokasi, kumlipa fidia ya Sh85 milioni mwenda kwa miguu, Frank Zebaza aliyegongwa na basi lake. Mahakama hiyo pia imeamuru dereva aliyekuwa akiendesha basi hilo, Hafidhi…

Read More

Kambi upimaji moyo, magonjwa yasiyoambukiza yaja

Dar es Salaam. Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) kwa kushirikiana na Bohari ya Dawa (MSD) wamepanga kambi maalumu ya upimaji magonjwa ya moyo na   mengine yasiyoambukiza. Kambi hiyo inayotarajiwa kutoa huduma hizo, itaanzia jijini Dar es Salaam kesho Jumanne, Desemba 23, 2025 ikihusisha waandishi na wahariri wa vyombo vya habari, kisha kambi ya…

Read More

Serikali yatoa siku 90 wasiosajili maeneo ya kazi

Dar es Salaam. Serikali imetoa siku 90 (miezi mitatu) kuanzia Januari Mosi kwa wamiliki wa maeneo ya kazi nchini ambao maeneo yao hayajasajiliwa na Wakala wa Usalama na Afya Mahali pa Kazi (Osha) kusajili maeneo hayo, kinyume na hapo hatua za kisheria zitachukuliwa dhidi yao. Agizo hilo la Serikali limetolewa na Waziri wa Nchi, Ofisi…

Read More

Ukame wa abiria vituoni wakatika, mabasi yajaa abiria

Moshi/Dar. Hali Hali ya ukame wa abiria uliokuwa ukionekana katika Kituo Kikuu cha Mabasi cha Magufuli katika siku za hivi karibuni imebadilika baada ya ongezeko la wasafiri kuelekea sikukuu za Krismasi na Mwaka Mpya. Kutokana na hali hiyo, Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri Ardhini (Latra) imetoa vibali vya muda kwa ajili ya kusaidia kuongeza upatikanaji…

Read More