Serikali Yaendelea Kuimarisha Malezi Bora ya Watoto na Kuzuia Vitendo vya Ukatili, Wazazi/ Walezi Waaswa kushiriki Kikamilifu Katika Malezi ya Watotto

Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Dkt. Dorothy Gwajima, akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo Desemba 22, 2025. Na Avila Kakingo, Michuzi Tv SERIKALI imeendelea kuchukua hatua mbalimbali za kuimarisha malezi bora ya watoto na kuzuia vitendo vya ukatili dhidi ya watoto na makundi maalum, ikisisitiza kuwa…

Read More

Suka Jamvi na Mechi za AFCON Leo

AFRICA CUP OF NATIONS( AFCON) 2025 haya ni mashindano ya soka barani Africa ambayo yanatarajiwa kufanyika huko nchini Morocco kuanzia tarehe 21 Desemba 2025 hadi 18 Januari 2026 ambapo timu mbalimbali zimejiandaa kwaajili ya kuhakikisha wanachukua Kombe hili. Muundo wa mashindano haya upo kwenye Makundi ambapo timu 24 ndio ambazo zimefuzu kushiriki michuano hii ambapo…

Read More

Akiba Commercial Bank Donates Medical Items to Mwananyamala Government Hospital During Festive Season

Dar es Salaam, 22/12/2025  Akiba Commercial Bank Plc (ACB) today donated essential medical items to Mwananyamala Government Hospital as part of its end-of-year festive season initiatives aimed at supporting communities and enhancing public welfare. During the event, Head of Marketing and Communications, Dora Saria, emphasized the Bank’s commitment to giving back to society and supporting…

Read More

Mitazamo tofauti kuhusu Krismasi | Mwananchi

Dar es Salaam. Katika jamii ya kisasa inayokabiliwa na changamoto za kiuchumi, kijamii na kiutu, maisha ya kujali wengine wakati wa sikukuu ya Krismasi yameendelea kutajwa kuwa nguzo muhimu ya mshikamano na utu. Hata hivyo, baadhi ya watu wanahoji kuwa mwenendo huo wakati mwingine hujaa maigizo na hauakisi ipasavyo uhalisia wa maisha ya kila siku….

Read More

Wenye makaburi Kurasini waanza kulipwa, udanganyifu ukitawala

Dar es Salaam. Wananchi wa Mtaa wa Shimo la Udongo Kata ya Kurasini wilayani Temeke, waliokuwa wamezika ndugu zao katika makaburi ya Bongulo wameanza kulipwa fedha kwa ajili ya kuhamishwa huku udanganyifu ukitawala.  Makaburi hayo zaidi ya 4,000 yatahamishwa kupishwa ujenzi wa bandari kavu inayojengwa na mwekezaji, huku kila moja likilipwa Sh300,000. Hatua hiyo inakuja…

Read More