Janabi azitahadharisha nchi za Afrika misaada WHO ikipungua kwa asilimia 70
Dar es Salaam. Mkurugenzi wa Kanda ya Afrika wa Shirika la Afya Duniani (WHO), Profesa Mohamed Janabi amezitaka nchi za Afrika kuongeza fedha katika bajeti zao za afya, ili kupambana na kupungua kwa misaada ya rasilimali fedha. Amesema hiyo imetokana na kujitoa kwa mataifa makubwa ikiwemo Marekani, hali iliyosababisha kupungua kwa asilimia 70 ya rasilimali…