WARAKA WA PILI WA UMOJA WA KIISLAMU TANZANIA (UWAKITA) KABLA NA BAADA YA UCHAGUZI MKUU WA TANZANIA OKTOBA 29 NA JARIBIO LA MAANDAMANO DISEMBA 9, 2025, KWA UFAFANUZI WA KISHERIA NA KIKATIBA
Kwa Jina la Mwenyezi Mungu (Allah S.W.T), Mwingi wa Rehema, Mwenye KurehemuYeye ndiye Muumba wa mbingu na ardhi na vyote vilivyomo. Humpa ufalme amtakaye na humwondolea amtakaye, humruzuku amtakaye bila ya hisabu na huwakadiria wengine riziki zao kwa hikima Yake. Yeye pekee ndiye anayestahili kuabudiwa, kutegemewa, kushukuriwa na kuombwa msaada katika kila jambo. UTANGULIZI Swali…