FAMILY DAY 2025 YA MGODI WA BARRICK BULYANHULU YAKUTANISHA FAMILIA ZA WAFANYAKAZI NA JAMII KUFURAHI PAMOJA
Kaimu Meneja Mgodi wa Barrick Bulyanhulu Leon Ebondo akizungumza wakati Barrick Bulyanhulu Family Day Mgodi wa dhahabu wa Barrick Bulyanhulu uliopo katika halmashauri ya wilaya ya Msalala mkoani Shinyanga umeandaa tukio la Family Day 2025, ambalo limekutanisha mamia ya wanafamilia wa wafanyakazi wa Mgodi huo ,viongozi wa Serikali na vijiji vinavyozunguka mgodi na wakazi wa…