Wasomali waandamana kupinga kutambuliwa Somaliland, wamlaumu Netanyahu
Somalind. Maelfu ya Wasomali wamejitokeza katika mitaa mbalimbali nchini humo kupinga hatua ya Israel kuitambua Somaliland, eneo lililojitangaza kujitenga ambalo Somalia inalichukulia kuwa sehemu ya ardhi yake, huku wakimlaumu Waziri Mkuu wa Israel, Benyamin Netanyahu kwa uamuzi huo. Makundi makubwa ya watu yalikusanyika katika mji mkuu, Mogadishu jana Jumanne Desemba 30, 2025, kuelekea kwenye uwanja…