Sakata la mgonjwa kubakwa Tabora: Mganga Mkuu Wilaya ya Urambo, wengine wawili wasimamishwa kazi
Tabora. Watumishi watatu wa kada ya afya akiwemo Mganga Mkuu wa Wilaya ya Urambo wamesimamisha kazi, huku wengine wawili wakiendelea kuhojiwa, kufuatia sakata la mgonjwa kubakwa na tabibu na matukio mengine ya uzembe kazini. Agizo hilo limetolewa leo Desemba 1,2025 na Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Paul Chacha wakati wa ziara maalumu ya kamati ya…