Kisa mashabiki, Mlandege yatozwa faini Sh1 milioni

MABINGWA watetezi wa Ligi Kuu Zanzibar, Mlandege, imetozwa faini ya Sh1 milioni kwa kosa la mashabiki wa timu hiyo kufanya vurugu kwa kurusha chupa uwanjani wakati mechi ikiendelea. Taarifa iliyotumwa kwa vyombo vya habari leo Jumapili Desemba 21, 2025 na Ofisa Habari wa Bodi ya Ligi Zanzibar, Issa Chiwile, imesema katika kikao kilichofanyika Desemba 17,…

Read More

Wazalishaji wa mafuta walia na magendo

Dar es Salaam. Wamiliki wa viwanda vya kutengeneza mafuta ya kula nchini wamelia na biashara ya magendo, huku wakiitaka Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kuongeza nguvu katika kuidhibiti. Wametoa kauli hiyo wakati wakizungumza na Kamishna Mkuu wa TRA, Yusuph Mwenda alipofanya ziara kwenye viwanda vya East coast Oils and Fats (Mo), African Harmony (Wilmar) na…

Read More

GULAM DEWJI AIPONGEZA TRA KWA KUPAMBANA NA MAGENDO

::::::::: Mfanyabiashara maarufu nchini na mmiliki wa Kiwanda cha East Coast Oils and Fats Limited kilichopo jijini Dar es Salaam ameipongeza Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kwa jitihada inazofanya katika kupambana na uingizwaji wa mafuta ya kupikia ya magendo. Hatua hiyo imekuja baada ya Kamishna Mkuu wa TRA Bw. Yusuph Juma Mwenda kufanya ziara ya…

Read More

WAZIRI KOMBO AONGOZA UJUMBE WA TANZANIA KUSHIRIKI KATIKA MKUTANO WA PILI WA JUKWAA LA MAWAZIRI WA MAMBO YA NJE WA NCHI ZA AFRIKA NA URUSI

  Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mheshimiwa Balozi Mahmoud Thabit Kombo, ameongoza Ujumbe wa Tanzania kushiriki katika Mkutano wa Pili wa Jukwaa la Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Nchi za Afrika na Urusi uliofanyika tarehe 19 na 20 Disemba, 2025, jijini Cairo, Misri. Mkutano huo ulihudhuriwa na Mawaziri wa…

Read More

Wapagazi 30,000 waungana, waanzisha TAP kutetea haki zao

Moshi. Zaidi ya wapagazi 30,000 kutoka vyama vinne nchini wameungana na kuunda umoja wao uitwao Tanzania  Association of Porters (TAP), kwa lengo la kuimarisha mshikamano miongoni mwao na kuweka mfumo wa pamoja wa kushughulikia changamoto mbalimbali zinazowakabili katika sekta ya utalii. Vyama vilivyoungana kuunda TAP ni Tanzania Porters Organization (TPO), Mount Kilimanjaro Porters Society (MKPS),…

Read More

Mkurugenzi Mbarali kuwashughulikia watumishi wanaokwamisha miradi

Mbarali. Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali Mkoa wa Mbeya, imejipanga kudhibiti mianya ya upotevu wa mapato ya ndani  na  kuwachukulia hatua na watumishi watakaobainika kuhujumu miradi ya maendeleo. Hatua hiyo imekuja kufuatia miaka kadhaa halmashauri hiyo kushindwa kufanya vizuri kwenye makusanyo ya ndani licha ya kutegemea asilimia 80 kutoka kwenye chanzo cha sekta ya kilimo….

Read More

Dk Tulia kutoa tabasamu kwa kaya 130 

Mbeya. Mbunge wa Uyole, Dk Tulia Ackson amesema ataendelea kugusa jamii kwa kugharamia bima za afya na sare za shule kwa wanafunzi wenye mazingira magumu, pamoja na kusaidia wazee wasiojiweza. Akizungumza leo Jumapili Desemba 21, 2025, wakati wa utoaji wa mahitaji kwa wazee katika kata tano za Jimbo la Uyole, Dk Tulia amesema kila kaya…

Read More