Askofu Bagonza: KKKT halisemwi vizuri

Dar es Salaam. Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Karagwe, Benson Bagonza, amesema hivi sasa KKKT haisemwi vizuri kutokana na kupoteza ushuhuda wa kimatengenezo. Amesema hakuna dhambi wanaikemea ambayo haitendwi ndani ya kanisa hilo, akihoji kama haipo itajwe. Mwananchi imemtafuta Mkuu wa KKKT, Askofu Alex Malasusa ambaye ndiye msemaji wa…

Read More

TMA yapiga hesabu mapema Championship

UONGOZI wa TMA unatarajia kukutana wiki hii na kocha wa kikosi hicho, Habibu Kondo ili kuzungumzia mambo mbalimbali ya timu hiyo, hususani wachezaji wa kuwaongeza katika dirisha dogo linalotarajiwa kufunguliwa kuanzia Januari Mosi, 2026. Akizungumza na Mwanaspoti, Mwenyekiti wa TMA, Chris Salongo, amesema watakutana na kuzungumza na benchi la ufundi la timu hiyo kwa ajili…

Read More

TANZANIA NA INDIA ZASAINI MAKUBALIANO YA KUENDELEZA TIBA ASILI, WHO YAPONGEZA

Na John Mapepele – New Delhi Serikali ya Tanzania na India zimesaini Hati ya Makubaliano (MoU) kuhusu ushirikiano kwenye Sekta ya Afya katika kuendeleza tiba asilia (Ayurveda), huku Tanzania ikiwakaribisha wawekezaji kutoka sehemu duniani kuja kuwekeza na kuwahakikishia kuwapatia mazingira mazuri ya uwekezaji. Utiwaji saini huo kwa upande wa Serikali ya Tanzania umefanywa na Waziri…

Read More

Straika Songea United aota ufungaji bora

MSHAMBULIAJI wa Songea United, Raymond Lulendi, amesema licha ya kushirikiana na wachezaji wenzake kuipambania timu hiyo kumaliza nafasi nne za juu, ila malengo yake binafsi ni kuhakikisha pia anakuwa mfungaji bora wa Ligi ya Championship. Nyota huyo aliyejiunga na timu hiyo msimu huu akitokea JKU ya visiwani Zanzibar, amefunga mabao sita hadi sasa akiwa na…

Read More

Unilever Tea yakwama rufaa ya kupinga kodi ya Sh27 bilioni

Arusha/Dar. Jitihada za Kampuni ya Unilever Tea Tanzania Limited kujinusuru katika malipo ya kodi ya zaidi ya Sh27 bilioni zimegonga ukuta baada ya Mahakama ya Rufani kupiga muhuri wa mwisho wa amri ya kulipa kodi hiyo. Mahakama hiyo imeitupilia mbali rufaa iliyoikata kampuni hiyo dhidi ya Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), ikipinga…

Read More