Pedro asimulia walivyowabana JS Kabylie kwao
KIKOSI cha Yanga kimetua salama nchini jana kutoka Algeria kilipoenda kucheza mechi ya pili ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika na kutoka suluhu dhidi ya JS Kabylie, huku kocha wa kikosi hicho, Pedro Goncalves akiweka bayana mechi ilikuwa ngumu, ila sare ya ugenini imewabeba. Yanga iliumana na JS Kabylie Ijumaa iliyopita na kutoka sare…