Nathan Kimaro Agusa Maisha ya Wauguzi na Wananchi Mount Meru Kupitia Msaada wa Kijamii
Na Pamela Mollel, Arusha Jamii ya wauguzi, madaktari na wananchi waliopo katika Hospitali ya Rufaa ya Mount Meru wamepata faraja na motisha baada ya mfanyabiashara na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Hokimart Group Limited, Nathan Kimaro, kutoa msaada wa kijamii uliolenga kuthamini mchango wa watoa huduma za afya. Kupitia tukio hilo, Nathan aligawa vitu mbalimbali…