Usimweleze mwanamke mambo haya | Mwananchi
Dar es Salaam. Kuna baadhi ya mambo ambayo,kwa kawaida, hayapaswi kusemwa na mwanaume kwa mpenzi wake wa kike. Haya ni maneno au maswali ambayo yanaweza kuathiri uhusiano na kumfanya mpenzi wako ajihisi vibaya, au hata kupoteza mvuto wako kwake. Kwanza kabisa, sio jambo jema kuomba kibali cha busu kwa mpenzi wako wa kike. Wanawake wengi…