WAZIRI SANGU: WAUNGANISHENI VIJANA NA FURSA ZA AJIRA NDANI NA NJE YA NCHI
Na: OWM – KAM, Dar es Salaam Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Ajira na Mahusiano, Mhe. Deus Sangu amekitaka Kitengo cha Huduma za Ajira kuongeza juhudi katika kuwaunganisha vijana na fursa za ajira ndani na nje ya nchi. Aidha, amesema Kitengo hicho kinajukumu kubwa la kuwasaidia watafuta ajira na waajiri, hivyo…