NAOT ilivyowanoa wanahabari kuinua mjadala ya uwajibikaji

Morogoro. Ofisi ya Taifa ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (NAOT), imevitaja vyombo vya habari nchini kama washirika kimkakati katika kuibua mijadala ya uwajibikaji wa fedha za umma. Mkaguzi Mkuu wa Nje (CEA), Baraka Mfugale, ametoa kauli hiyo jana Desemba 19, 2025, katika mafunzo maalumu kwa waandishi wa habari mjini hapa. Amesema…

Read More

Mwigulu aagiza dawa mahsusi kupatikana hospitalini

Dar es Salaam. Waziri Mkuu, Dk Mwigulu Nchemba ameutaka uongozi wa Wizara ya Afya ufuatilie suala la upatikanaji wa dawa mahsusi hospitalini, ili kuondoa dosari ndogondogo zilizopo. Ametoa maagizo hayo leo Jumamosi, Desemba 20, 2025 wakati akizungumza na viongozi wa Mkoa wa Lindi na viongozi wa sekta ya afya, mara baada ya kupokea taarifa ya…

Read More

Tabia nne  zitakazoboresha ubongo wako

Dar es Salaam. Utafiti mpya umebaini kuwa kuzingatia tabia chanya nne za maisha,  kunaweza kufanya ubongo kubaki mchanga na wenye afya kwa kipindi cha hadi miaka minane. Wanasayansi wa Chuo Kikuu cha Florida waligundua kuwa na matumaini mema, kupata usingizi wa kutosha, kudhibiti msongo wa mawazo na kuwa na msaada imara wa kijamii, kulionyesha kuwa…

Read More

Dk Mwigulu ataka TRA kuweka mabango  miradi iliyotekelezwa kwa kodi za wananchi

Dar es Salaam. Waziri Mkuu, Dk Mwigulu Nchemba ameilekeza Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), kuweka mabango kwenye miradi iliyotekelezwa kwa kodi za wananchi, ili kuonyesha namna Watanzania waliyoshiriki kuijenga. Mtendaji huyo mkuu wa shughuli za Serikali, amesema hatua hiyo itawezesha Watanzania kutambua namna ambavyo fedha zao zinavyotumika kupitia kodi wanazozilipa. Dk Mwigulu ametoa kauli hiyo…

Read More