Vifo vya wanasiasa vilivyotikisa mwaka 2025
Dar es Salaam. Mwaka 2025 umebeba simanzi katika historia ya siasa za Tanzania, baada ya Taifa kupoteza viongozi na wanasiasa mashuhuri waliowahi kulitumikia kwa muda mrefu, ikiwamo kutoa mchango katika maendeleo ya nchi. Katika nyakati tofauti ndani ya mwaka huu, Watanzania walikumbwa na huzuni kufuatia vifo vya viongozi hao, akiwemo Cleopa Msuya, Job Ndugai, Profesa…