Ibenge ataka wawili tu Azam FC
KIKOSI cha Azam FC kipo mapumziko kwa sasa baada ya Ligi Kuu Bara kusimama kupisha fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2025 zitakazoanza kesho huko Morocco, lakini benchi la ufundi la timu hiyo halijalala kutokana na kuanza msako wa nyota wawili wapya. Azam kwa sasa ipo nafasi ya tisa kwa kukusanya pointi tisa…