IPU yaridhishwa maandalizi ya mkutano mkuu Tanzania, Dk Tulia…
Dar es Salaam. Wajumbe wawakilishi kutoka Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) wameridhishwa na maandalizi ya Tanzania kuelekea mkutano mkuu wa umoja huo. Tanzania itakuwa mwenyeji wa mkutano mkuu wa IPU utakaofanyika Oktoba 2026 ukijumuisha wajumbe kutoka mataifa mbalimbali wanachama wa umoja huo. Hayo yamebainishwa leo Jumatatu, Desemba 8, 2025, katika kikao kazi cha mabalozi wawakilishi…