FCT YAELIMISHA WADAU KUHUSU HUDUMA NA MAJUKUMU YAKE

BARAZA la Ushindani (FCT) jana Desemba 18, 2025, limeendesha semina ya elimu kwa wadau mkoani Mbeya kwa lengo la kuongeza uelewa kuhusu majukumu na huduma zinazotolewa na Baraza hilo. Semina hiyo ilifanyika katika Ukumbi wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Mbeya na kufunguliwa na Katibu Tawala Msaidizi – Viwanda, Biashara na Uwekezaji Mkoa wa…

Read More

Vizuizini vya wafanyikazi wa Umoja wa Mataifa nchini Yemen, walinda amani waliouawa Sudan walirudishwa nyumbani, mashambulizi nchini Ukraine – Masuala ya Ulimwenguni

Tukio hili la hivi punde, lililotokea Alhamisi, linafanya jumla ya wafanyakazi wa Umoja wa Mataifa wanaoshikiliwa na Houthi kufikia 69. Kuzuiliwa huku kumesababisha uwasilishaji wa usaidizi wa kibinadamu katika maeneo yanayodhibitiwa na Wahouthi kutotekelezeka, na kuathiri moja kwa moja mamilioni ya watu wanaohitaji msaada na kuzuia ufikiaji wao wa msaada wa kuokoa maisha, Msemaji wa…

Read More

Mikusanyiko mwishoni mwa mwaka ni zaidi ya shamrashamra

Dar/Mikoani. Sikukuu za mwishoni na mwanzoni mwa mwaka ni fursa kwa wana jamii kukusanyika, kukumbuka walikotoka na kujiuliza wanakoelekea. Wapo wanaosafiri kurudi nyumbani, na wengine huongeza mawasiliano ya salamu baina yao na hata milango ya nyumba iliyofungwa kwa miezi kadhaa, hufunguliwa kwa ajili ya wageni. Katika mikusanyiko hii, zipo simulizi za mafanikio, kila mmoja na…

Read More

UTT Amis kuangazia soko la Afrika Mashariki na Kusini

Dar es Salaam. Mfuko wa uwekezaji UTT Amis umejipanga kutanua wigo kwa kuangalia fursa zilizopo katika nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki (EA) na Nchi za Kusini mwa Jangwa la Sahara (SADC) ili kuwawezesha wananchi wa jumuiya hizo kuwekeza. Soko hilo linaangaliwa wakati ambao mfuko umerekodi ukuaji wa zaidi ya Sh1.1 trilioni mwaka huu, ukuaji…

Read More

JAFO AHIMIZA KASI YA UJENZI SHULE YA SEKONDARI DK.SELEMANI JAFO

MBUNGE wa Jimbo la Kisarawe, Dkt. Selemani Jafo,akizungumza na wananchi mara baada ya kukagua   ujenzi wa mabweni mawili na madarasa katika Shule ya Sekondari Dkt.Selemani Jafo,wakati wa ziara ya kukagua utekelezaji wa miradi ya maendeleo wilayani Kisarawe. Na.Alex Sonna-Kisarawe MBUNGE wa Jimbo la Kisarawe, Dkt. Selemani Jafo, ameridhishwa na hatua iliyofikiwa katika ujenzi wa mabweni…

Read More