El-Obeid wa Kordofan ‘hatua moja au mbili’ ili ashambuliwe – Masuala ya Ulimwenguni

“Watu nchini Sudan hawatembei kwa hiari, wanakimbia kutafuta usalama,” alisema Mohamed Refaat, IOM Mkuu wa Mabalozi nchini Sudan. Akizungumza kutoka Bandari ya Sudan kwa waandishi wa habari mjini Geneva, alihimiza Nchi Wanachama wote na “kila mtu anayeweza kutoa msaada” kwa watu wa Sudan, kuhakikisha ulinzi wao. Tahadhari ya makombora mazito Ripoti za hivi punde kutoka…

Read More

Wakulima Sasa Wanaweza Kupima na Kunufaika na Biashara ya Kaboni ya Miti ya Matunda – Masuala ya Ulimwenguni

Mtafiti wa Chuo Kikuu cha Kilimo na Teknolojia cha Jomo Kenyatta (JKUAT) Shem Kuya akichukua sampuli ya mwembe kwenye shamba katika kaunti ya makueni. Credit: Wilson Odhiambo/IPS na Wilson Odhiambo (nairobi) Ijumaa, Desemba 19, 2025 Inter Press Service NAIROBI, Desemba 19 (IPS) – Wakulima sasa wanaweza kujua na kufaidika kutokana na mchango wao katika mabadiliko…

Read More

‘Elimu ya historia itolewe kwa ubunifu, teknolojia’

Dodoma. Chama cha Wanahistoria Tanzania (HAT) kimetakiwa kusambaza elimu, utafiti na ubunifu wa kihistoria nchini badala ya kuuacha kwenye makaratasi bila jamii kunufaika nao. Wito huo umetolewa leo Ijumaa Desemba 19, 2025 na Mwakilishi wa Mkurugenzi wa Shirika la Makumbusho ya Taifa, Revocatus Bugumba kwenye mkutano Mkuu wa chama hicho uliofanyika jijini Dodoma. Bugumba amesema…

Read More

GRAPHITE YAANZA KUZALISHWA MOROGORO – MICHUZI BLOG

 Dkt. Kiruswa atoa wito utunzaji mazingira na uwajibikaji kwa kijamii Naibu Waziri wa Madini, Mhe. Dkt. Steven Kiruswa, amezitaka kampuni zinazojishughulisha na shughuli za madini nchini kuhakikisha zinazingatia kikamilifu utunzaji wa mazingira katika maeneo yote ya utekelezaji wa miradi yao. Dkt. Kiruswa ameyasema hayo leo, Desemba 19, 2025, baada ya kutembelea mradi wa uchimbaji na…

Read More

UZINDUZI WA SOKO LA CHAKULA STENDI YA MSAMVU WACHOCHEA MATUMIZI YA NISHATI SAFI NA KUINUA UCHUMI WA WANAWAKE MOROGORO

Juhudi za kukabiliana na changamoto za matumizi ya nishati chafu, uharibifu wa mazingira na magonjwa yatokanayo na moshi wa kuni na mkaa zimepata msukumo mpya kufuatia uzinduzi wa Soko la Chakula la Stendi ya Msamvu, lililoanzishwa chini ya Mradi wa Mwanamke Shujaa unaotekelezwa na Coca-Cola Kwanza kwa kushirikiana na Oryx Gas Tanzania na Halmashauri ya…

Read More

Steve Barker kocha mpya Simba SC

KLABU ya Simba, leo Ijumaa, Desemba 19, 2025 imemtangaza Steve Barker kutoka Afrika Kusini kuwa Kocha Mkuu mpya. Barker (57), anajiunga na Simba akitokea Stellenbosch ya Afrika Kusini aliyoiongoza kutinga nusu fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika msimu uliopita. Katika msimu huu, Barker ambaye alizaliwa nchini Lesotho, ameiongoza Stellenbosch katika mechi 24 za mashindano tofauti….

Read More

NIT YAZIDI KUJIPAMBANUA KATIKA MAFUNZO YA URUBANI

::::::: Na Mwandishi Wetu DAR ES SALAAM – Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT) kimeendelea kujiimarisha katika sekta ya uchukuzi baada ya kuanzisha rasmi mafunzo ya urubani nchini, hatua iliyotajwa kuwa suluhisho la changamoto ya gharama kubwa za masomo ya fani hiyo nje ya nchi. Hatua hiyo imepongezwa na Waziri wa Uchukuzi, Profesa Makame Mbarawa…

Read More