DKT. KIJAJI: TANAPA, TAWA NENDENI NA KASI YA RAIS SAMIA KUCHECHEMUA UTALII
Na Sixmund Begashe, Iringa WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Dkt. Ashatu Kijaji, amezitaka taasisi za uhifadhi nchini, Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) na Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA), kuongeza kasi ya kuhamasisha utalii wa ndani ili Watanzania waweze kunufaika moja kwa moja na matokeo chanya ya uhifadhi wa rasilimali za utalii….