Magori amaliza utata Simba, afichua mambo manne
MWENYEKITI wa Bodi ya Wakurugenzi wa Simba SC, Crescentius Magori amesema klabu hiyo imefikia hatua ya mwisho ya mchakato wa mabadiliko ya uendeshaji uliodumu kwa miaka minane tangu ulipoanza mwaka 2017. Magori aliyasema hayo jana kwenye mkutano na wanahabari kuelezea mchakato ya kusajili wanachama wapya wa klabu hiyo, huku akikiri mchakato huo ulikuwa mgumu kutokana…