Bajaji za umeme zinavyogusa maisha na kulinda mazingira

Dar es Salaam. Siku moja akiwa Ubungo, jijini hapa akisubiri abiria kama ilivyokuwa desturi yake, Makoni Francisco (47), alifanya uamuzi uliobadilisha kabisa maisha yake. Aliamua kuacha pikipiki yake ya matairi matatu maarufu kama bajaji iliyokuwa inatumia petroli na kuanza kutumia ya umeme. Miaka miwili imepita tangu alipofanya uamuzi huo, maisha yake yamebadilika. Akiegesha bajaji yake…

Read More

Je, Umoja wa Mataifa Uko Tayari kwa Muhula wa Miaka 7 Usioweza Rudishwa kwa Katibu Mkuu? – Masuala ya Ulimwenguni

Katibu Mkuu wa zamani wa Umoja wa Mataifa, Ban Ki-moon, ahutubia Baraza la Usalama akionya Baraza hilo kuwa lina hatari ya kutokuwa na umuhimu bila mageuzi. Credit: UN Photo/Eskinder Debebe 15 Desemba 2025 na Thalif Deen (umoja wa mataifa) Ijumaa, Desemba 19, 2025 Inter Press Service UMOJA WA MATAIFA, Desemba 19 (IPS) – Pendekezo la…

Read More

WASTAAFU ELFU 50 KUPATIWA VITAMBULISHO VYA KIELEKTRONIKI

Na. Saidina Msangi na Jordan Mbwambo, WF, Dodoma. WASTAAFU wanaolipwa na Serikali wapatao 609 katika Wilaya ya Dodoma Mjini, wamepatiwa vitambulisho vya kielektroniki katika zoezi la kugawa vitambulisho hivyo linalotekelezwa na Wizara ya Fedha ambapo inalenga kuwafikia wastaafu wapatao elfu 50 nchini. Hayo yalibainishwa na Mhasibu Mkuu wa Serikali Msaidizi- Huduma za Mfuko Mkuu, Wizara…

Read More

TANZANIA NA UTURUKI KUIMARISHA UWEZESHAJI WA VIJANA NA WANAWAKE

Na WMJJWM- Uturuki TANZANIA na Uturuki zimekubaliana kuanzisha makubaliano yatakayowezesha vijana kutoka Tanzania kunufaika na fursa za mafunzo, uzoefu wa biashara na kuunganishwa na vijana wenzao kupitia Jukwaa la Young MÜSIAD ili kukuza mtandao wa biashara, ujuzi na kutengenenza rasilimaliwatu itakayoimarisha biashara na uwekezaji kati ya nchi hizo mbili. Hayo yamesemwa na Katibu Mkuu, Wizara…

Read More

Meridianbet Kushusha Neema ya Ushindi Kupitia Slotopia

BURUDANI inazidi kuwa kubwa kutoka Meridianbet kwenda kwa wapenzi wa michezo ya kasino mtandaoni, kwani sasa wamemsogeza karibu mtoa huduma mpya wa michezo ya kasino anayejulikana kama Slotopia. Huyu ni mtoa huduma anayekuletea uzoefu wa burudani isiyokuwa na kifani. Sasa kila mzunguko unaoucheza kwenye Meridianbet inaweza kuwa fursa ya kushinda, kufurahia, na kuingia kwenye ulimwengu…

Read More

Ijumaa ya Kuondoka na Mkwanja Imefika

IJUMAA ya leo mechi kibao za pesa zinaendelea ndani ya Meridianbet huku wakali wa ubashiri Meridianbet wanakwambia hivi mtafutaji hachoki, yaani ni mwendo wa kusaka ODDS KUBWA tuu na kubashiri. Ingia kwenye akaunti yako sasa na ubashiri leo. Ligi kuu ya Hispania, LALIGA itaendelea ambapo Valencia atakipiga dhidi ya Mallorca huku tofauti ya pointi kati…

Read More