Katambi aitaka NDC kuleta mapinduzi ya viwanda
Dar es Salaam. Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Patrobas Katambi ameliagiza Shirika la Maendeleo la Taifa (NDC) kuchukua hatua madhubuti za kuleta mapinduzi ya viwanda nchini kwa kufungua viwanda vingi zaidi na kuzalisha fursa za ajira, hususan kwa vijana. Aidha, amelitaka shirika hilo kuongeza kasi ya utekelezaji wa majukumu yake na kuimarisha uwajibikaji ili…